Kaunti Yapiga Jeki Huduma za Kilimo na Ufugaji Nyanjani
Huduma za kilimo na ufugaji kwenye Kaunti ya Taita Taveta zinatarajia kupigwa jeki. Hii ni baada ya Gavana wa Kaunti hiyo Andrew Mwadime kukabidhi wahudumu wa nyanjani pikipiki spesheli watakazo…