![]()
Kaunti ya Taita Taveta ina utajiri wa aina mbali mbali ya madini, ambapo uwekezaji madhubuti ukiweka utawawezesha wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta kunufaika na rasilimali hizo hivyo kubadili mustakabali wa maisha yao.
Madini hayo ni kama vile tsavorite, ruby, chrome tourmaline, tourmaline ya njano, garnets nyekundu, garnets ya kijani na Tanzanite, manganese, madini ya chuma, marumaru pamoja na chokaa.
Sekta hii imepigwa jeki kwa kufunguliwa kwa kitengo cha madini katika chuo anuai cha Taita Taveta National Polythecnic kaunti ya Taita Taveta. Ili kupata taarifa kamili, bofya kiungo hapa chini kuskiliza.