WEZI WA PIKI PIKI NA KUUWA WATU WAZIDI TAITA TAVETA
Viongozi wa usalama kaunti ya Taita Taveta wamelaumiwa kwa kudorora kwa usalama wa waendeshaji piki piki katika kaunti hiyo huku wito ukitolewa kwa idara husika kuwajibika. Kulingana na mbunge mteule…