Matilda Waleghwa Achukua Usukani Kuongoza Ranchi ya Kishushe
Matilda Waleghwa amekabidhiwa rasmi uongozi wa Shirika la Kishushe (Kishushe Ranching Cooperative Society Ltd) katika hafla iliyofanyika mjini Voi siku ya Jumatano, ikiashiria mwisho wa migawanyiko ya miaka mingi iliyokuwa…