Makovu ya Ukeketaji Yasukuma Wakeketaji Kuasi Ukeketaji Kenya
Simulizi za wanawake wanaoishi na makovu ya ukeketaji, kwa dhiki nyingi, zinaelezea unyanyasaji waliopitia na jinsi walivyokabiliana na fedheha na aibu za ukeketaji. Wengi wa wanawake hawa waligeuka kuwa wakeketaji…