Mgomo wa Madaktari na Wahudumu wa Afya Taita Taveta Kuingia Siku ya Pili Sasa
Shughuli za afya na matibabu katika kaunti ya Taita Taveta zasitishwa baada ya madaktari na wahudumu wote wa afya katika kaunti hiyo kuingia kwenye mgomo kulalamikia kutotimizwa kwa matakwa yao.…