Serikali Yaimarisha Malipo na Mikakati ya Kukabili Migogoro kati ya Binadamu na Wanyamapori Taita Taveta
Serikali imetangaza kuongeza juhudi za kulipa fidia kwa waathiriwa wa migogoro kati ya binadamu na wanyamapori na kutekeleza mikakati ya kudumu kama vile kujenga ua za umeme na miradi ya…