Mkonge Suluhu Mbadala ya Mapato kwa Wakulima
Kwa muda mrefu ukulima umefeli, wakulima wamepata hasara, baada ya misimu yamvua kubadilika, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi.Japo changamoto kama ugonjwa wa honeydew, leaf blight, mvua nyingi na ushindanikutoka…