Wakazi wa Kijiji cha Bondeni Wataka Haki, Wakidai Kuporwa Ardhi Yao
Wakazi wa Kijiji cha Bondeni, eneo la Kajire kaunti ya Taita Taveta, wamejitokeza kudai haki baada ya kipande cha ardhi wanachodai kuwa ni chao kuporwa na viongozi wanaosema kuwa eneo…