Kaunti ya Taita Taveta Yapanga Kupitisha Sheria Mpya ya Kupunguza Umaskini
Wakazi wa Kaunti ya Taita Taveta huenda wakafaidika hivi karibuni na mpango wa kupambana na umaskini ulio rasmi na unaoungwa mkono na sheria, huku serikali ya kaunti kwa ushirikiano na…