Viongozi wa Taita Taveta Walaumu Polisi kwa Kushindwa Kudhibiti Uhalifu Dhidi ya Bodaboda
Viongozi wa kaunti ya Taita Taveta, wakiandamana na wanaBodaboda na wananchi, walifika katika kituo cha polisi cha Voi wakitaka majibu kuhusu ongezeko la utovu wa usalama unaowalenga wanabodaboda. Tatizo la…