Mwakilishi wa Wanawake Aongoza Usambazaji wa Sodo kwa Wanafunzi Taita Taveta
Mwakilishi wa wanawake kwenye kaunti ya Taita Taveta Lydia Haika aongoza Hafla ya zoezi la usambazaji wa Sodo kwa Wanafunzi wa Shule za umma kwenye Maeneo Bunge ya Mwatate, Voi,…