Kaunti ya Taita Taveta Yazindua Chanjo ya Mifugo Kukabili Milipuko ya Magonjwa
Gavana wa Kaunti ya Taita Taveta, Andrew Mwadime, ameongoza uzinduzi wa zoezi kubwa la kuchanja mifugo katika kaunti hiyo, likilenga kulinda mifugo na kuibadilisha Taita Taveta kuwa eneo huru lisilo…