![]()
Simulizi za wanawake wanaoishi na makovu ya ukeketaji, kwa dhiki nyingi, zinaelezea unyanyasaji waliopitia na jinsi walivyokabiliana na fedheha na aibu za ukeketaji.
Wengi wa wanawake hawa waligeuka kuwa wakeketaji mahiri na wasaidizi wa wakeketaji baada ya kupashwa tohara wakiwa na umri wa kati ya miaka 12 hadi 15.